siri ya mwanamke mkakamavu
siri ya mwanamke mkakamavu
  • 88
  • 2 899 096
Wakubwa tu!! Usimpe Mumeo Tendo la Ndoa kila siku… kwa nini? Nimeelezea.
Wapendwa nilisha ongelea kuhusu Topic hii kitambo ila kwa sababu watu wengi hawakunielewa kiundani hasa wanaume, ndio maana nimerudia tena. Haya ni maono yangu na vile Wanawake wengi wameniandikia matatizo yao kwenye Ndoa.
.
.
Ila kabla hujaendelea na video hii kumbuka, video hii na video zangu zote ujue kuwa, kila nachosema ni kile ambacho mimi nafanya, Jaribu au acha ni uamuzi wako mwenyewe, Sikulazimishi wala kuhimiza, bali fanya hivyo kwa uamuzi wako. Sipingi na sishauri Umpinge au kuacha matibabu yako uliyoandikiwa na Dr. wako. Kwa tatizo lolote litakalotokea, madhara au chochote kila ni ulikuwa uamuziwako mwenyewe. asante..
.
Nifuateni Pia katika Instagram kwa Jina hili:
INSTAGRAM: @siriyamwanamkemkakamavu
EMAIL Adr: siriyamwanamkemkakamavu@gmx.de
.
.
#afya #ndoa #tanzania #bongo #mapishi #mapenzi
Переглядів: 151

Відео

Usiache Kuamini hata mara moja!!
Переглядів 54Місяць тому
Haya ni Mahubiri niliyotoa wiki zilizopita ni matumaini yangu kuwa mtafaidika kidogo. Huitaji kuangalia video ila sikiriza tu, egama kitandani au ukiwa unatembea na usikirize, Mathayo Mt. 21:21-22 Mbarikiwe sana. #tanzania #afya #mahubiri #yesu
Harufu mbaya sehem za Siri mafuta yapi yanasaidia/ kujinyoa sehemu za Siri bila kupata vipele.
Переглядів 3533 місяці тому
Wapendwa haya Video niliyowaahidi ni hii, ni matumaini yangu kuwa itawasaidia wale walio na matatizo ya kuwa na harufu mbaya sehem za Siri au kwapani. . . Usiache kutumia dawa au ushauri uliopewa na Daktari wako. Haya niliyowaambia ni Yale ni yafanyayo mimi hivyo ukiamua kufanya ni wewe tu na uamuzi wako kwani sikukazimishi kwa hili. . . Ukitaka kununua vitu nilivyotumia hii hizi ndizo website ...
Ugonjwa wa Kisukari na BP
Переглядів 1603 місяці тому
#magonjwasugu #tanzania #afya Wapendwa wangu haya magonjwa yote ambayo yamechachamaa kwa sasa ni sisi wenyewe tunayaleta, tunayafanya yaongezeke na kuendelea kuharibu kizazi kijacho. Ila tunaweza kupunguza kama tukianza kujali vile tunavyo weka midomoni kwetu.. tunapoanza kujipenda na kula vitu vyenye Afya ambavyo ni vizuri kwa utumbo wetu, kwani Moyo, na Utumbo ni vitu muhimu sana. . . Ila kab...
Kutafuta Mchumba Mzungu/ Kuolewa na Mzungu
Переглядів 9203 місяці тому
#kuolewa #mzungu #ulaya #tanzania #kenya Nisameheni Video imetoa ushafu pekeyake ila mbele itaendelea vizuri. -Wapendwa baada ya kupata Barua Pepe nyingi sana kutoka kwa watu wengi nimeamua kuwaletea video hii.
Je Mungu huyu yupo kweli
Переглядів 954 місяці тому
Je Mungu huyu yupo kweli
Challenge ya Kupungua kuanzia #2024 nawakumbusha tu.
Переглядів 2198 місяців тому
Yeeeee Wapendwa Leo tuongelee, tupange mpango wa kula kwa Afya ili tupunguze magonjwa mengi na tujikilo kidogo akii 🤣. Nani yupo pamoja? Watanzania, wakenya sisi nifamilia akii 🤣. Mtaaram wa juice na misosi ya Afya na kutusaidia kupunguza tujikilo. ❤️ #challenge #tanzania #africa #tanzania
Zawadi yako ni Ipi
Переглядів 1548 місяців тому
#biblia #bible #god #psalms #fastestplayer Katika Neno hili vifungu vya kusoma nilivyotumia. * Mathayo Mt. 18;21-22 * Zaburi 51;17 * Johane 6;35 * Daniel 6;10 * Mathayo 24;42 Ila kabla hujaendelea na video hii kumbuka, video hii na video zangu zote ujue kuwa, kila nachosema ni kile ambacho mimi nafanya, Jaribu au acha ni uamuzi wako mwenyewe, Sikulazimishi wala kuhimiza, bali fanya hivyo kwa ua...
Leo ni Bustani ya Maua, Video fupi tu.
Переглядів 368Рік тому
#mapamboyandani #bustani #nyumba #utajiri Wapendwa wangu, naanza kuwaonyesha Nyumbani kwangu, jinsi navyoanza kupamba na kadharika. Vitakuja vingi , Mapambo, Garden, Bafuni na kadharika. Namshukuru Mwenyezi Mungu kwa Upendo na Rehema zake, Ni Mungu Mwenyezi ndiye aliyenijengea Nyumba hii. Ila kabla hujaendelea na video hii kumbuka, video hii na video zangu zote ujue kuwa, kila nachosema ni kile...
Kupunguza Tumbo la Chini, kwa nini haupungui? Sehem ya Pili.
Переглядів 1,7 тис.Рік тому
#pungua #tanzania #chakula #habari #kenya Wapendwa tuendelee na sehem ya pili njia nzuri za kupungua unene kwa Tumbo la Chini. Tuwe na Jioni njema. Ila kabla hujaendelea na video hii kumbuka, video hii na video zangu zote ujue kuwa, kila nachosema ni kile ambacho mimi nafanya, Jaribu au acha ni uamuzi wako mwenyewe, Sikulazimishi wala kuhimiza, bali fanya hivyo kwa uamuzi wako. Sipingi na sisha...
Kwa nini Haupungui Unene?
Переглядів 1,3 тис.Рік тому
#pungua #tanzania #chakula #habari #kenya Wapendwa nimejaribu kuwaambia kidogo, njia nzuri za kupungua unene. Tuwe na Jioni njema. Ila kabla hujaendelea na video hii kumbuka, video hii na video zangu zote ujue kuwa, kila nachosema ni kile ambacho mimi nafanya, Jaribu au acha ni uamuzi wako mwenyewe, Sikulazimishi wala kuhimiza, bali fanya hivyo kwa uamuzi wako. Sipingi na sishauri Umpinge au ku...
Wapendwa Leo nimejibu Barua zenu tu. Nyie mnavituko lakini aah wajameni
Переглядів 249Рік тому
Wapendwa Leo nimejibu Barua zenu tu. Nyie mnavituko lakini aah wajameni
Amka Saa Nane Usiku na Usali Vifungu hivi vya Biblia, Utaona maajabu ya Yake.
Переглядів 1,3 тис.2 роки тому
Amka Saa Nane Usiku na Usali Vifungu hivi vya Biblia, Utaona maajabu ya Yake.
MAPAJA na USO
Переглядів 1,7 тис.2 роки тому
MAPAJA na USO
BAFUNI KWAKO, UKUNJAJI WA MATAULO
Переглядів 6402 роки тому
BAFUNI KWAKO, UKUNJAJI WA MATAULO
USO WAKO - JINSI YA KUSAFISHA KABLA HUJAENDA KULALA, MUHIMU SANA.
Переглядів 12 тис.2 роки тому
USO WAKO - JINSI YA KUSAFISHA KABLA HUJAENDA KULALA, MUHIMU SANA.
KABLA HUJAOLEWA-Mambo muhimu ya kuzingatia.
Переглядів 1,1 тис.2 роки тому
KABLA HUJAOLEWA-Mambo muhimu ya kuzingatia.
PUNGUA KILO 2-4 KATIKA WIKI 4. bila MAZOEZI
Переглядів 6142 роки тому
PUNGUA KILO 2-4 KATIKA WIKI 4. bila MAZOEZI
Usikate Tamaa, Mungu yupo nawe.
Переглядів 8913 роки тому
Usikate Tamaa, Mungu yupo nawe.
Mfungo wa DANIEL Siku 21
Переглядів 2,1 тис.3 роки тому
Mfungo wa DANIEL Siku 21
Nawatakia Baraka nyingi katika Mwaka ujao, 2021, Nawapenda sana.
Переглядів 4813 роки тому
Nawatakia Baraka nyingi katika Mwaka ujao, 2021, Nawapenda sana.
NI MAKOSA GANI TUNAYOYAFANYA SISI WANAWAKE KATIKA NDOA ZETU ? Sehemu ya PILI.
Переглядів 1,6 тис.3 роки тому
NI MAKOSA GANI TUNAYOYAFANYA SISI WANAWAKE KATIKA NDOA ZETU ? Sehemu ya PILI.
NI MAKOSA GANI TUNAYOYAFANYA SISI WANAWAKE KATIKA NDOA ZETU ? Sehemu ya KWANZA.
Переглядів 1,2 тис.3 роки тому
NI MAKOSA GANI TUNAYOYAFANYA SISI WANAWAKE KATIKA NDOA ZETU ? Sehemu ya KWANZA.
Mambo ya Fashion kwa Mwanamke Mkakamavu.
Переглядів 9363 роки тому
Mambo ya Fashion kwa Mwanamke Mkakamavu.
ASUBUHI
Переглядів 9293 роки тому
ASUBUHI
Vitu Vitatu navyotaka kuwaambieni Wapendwa wangu.
Переглядів 1 тис.3 роки тому
Vitu Vitatu navyotaka kuwaambieni Wapendwa wangu.
Shanga za Kiunoni. „Waist Beads „
Переглядів 3,8 тис.4 роки тому
Shanga za Kiunoni. „Waist Beads „
100% natürlich Zähne bleichen, Wie Sie Ihre Zähne natürlich bleichen.
Переглядів 6054 роки тому
100% natürlich Zähne bleichen, Wie Sie Ihre Zähne natürlich bleichen.
Jinsi ya Kung´arisha Meno yawe Meupe.
Переглядів 4,1 тис.4 роки тому
Jinsi ya Kung´arisha Meno yawe Meupe.
Bajeti ya Hela, Ratiba ya Chakula -- Sehem ya Kwanza
Переглядів 5 тис.4 роки тому
Bajeti ya Hela, Ratiba ya Chakula Sehem ya Kwanza

КОМЕНТАРІ